Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi akiongoza kikao cha ofisi hiyo na ugeni kutoka Tume ya Utumishi wa Umma Malawi waliofika kwa lengo la kujifunza Mifumo ya Kielektroniki iliyopo katika Utumishi wa Umma kuhusu ajira na taarifa za kiutumishi.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier
Daudi (wa kwanza kulia) akimsikiliza
Katibu Mkuu wa Tume ya Utumishi wa Umma Malawi, Bi. Irene Chikapa (wa kwanza
kushoto) wakati akielezea malengo ya kutembelea Ofisi ya Rais-UTUMISHI.
Ugeni kutoka Tume ya Utumishi wa Umma Malawi wakimsikiliza
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Bw. Xavier Daudi (hayupo pichani) wakati akiongoza kikao cha ofisi hiyo waliofika
kwa lengo la kujifunza Mifumo ya Kielektroniki iliyopo katika Utumishi wa Umma
kuhusu ajira na taarifa za kiutumishi.
Baadhi ya Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Xavier Daudi (hayupo pichani) wakati akiongoza kikao cha ofisi hiyo na ugeni kutoka Tume ya Utumishi wa Umma Malawi waliofika kwa lengo la kujifunza Mifumo ya Kielektroniki iliyopo katika Utumishi wa Umma kuhusu ajira na taarifa za kiutumishi.
Baadhi ya Watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Ugeni
kutoka Tume ya Utumishi wa Umma Malawi wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi
hiyo Bw. Xavier Daudi (hayupo pichani) wakati akiongoza kikao cha ofisi hiyo na
ugeni huo uliofika kwa lengo la kujifunza Mifumo ya Kielektroniki iliyopo katika
Utumishi wa Umma kuhusu ajira na taarifa za kiutumishi.
No comments:
Post a Comment