Mkurugenzi Msaidizi, Sehemu ya Anuai za Jamii, Idara
ya Uendelezaji Sera, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Mwanaamani Mtoo (kulia)
akimhudumia Mwananchi aliyefika katika banda la ofisi hiyo kwa ajili ya kupata
huduma wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yanayoendelea
katika Viwanja vya Shekh Amri Abeid Karume jijini Arusha.
Afisa kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Annajackline
Muhuga (wa pili kutoka kushoto) akifafanua jambo kwa Mwananchi aliyetembelea
banda la Ofisi hiyo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025
yanayoendelea katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume jijini Arusha.
Maafisa kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora wakionesha bango la Mwongozo wa Mavazi kwa Utumishi wa
Umma wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yanayoendelea
katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume jijini
Arusha.
Mtumishi kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Justina
Diyabene akionesha huduma zinazotolewa katika banda la ofisi hiyo lililopo katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume wakati wa Maadhimisho
ya Siku ya wanawake Duniani 2025 yanayoendelea jijini Arusha.
Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, wakiwa mbele ya banda la ofisi hiyo tayari kwa kuwahudumia
Watumishi wa Umma na Wananchi katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid
Karume wakati wa Maadhimisho ya Siku ya wanawake Duniani 2025 yanayoendelea
jijini Arusha.
Afisa kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Enasy Lwidiko
(kulia) akimhudumia Mtumishi wa Umma aliyefika katika banda la ofisi hiyo kwa
ajili ya kupata huduma za Kiutumishi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake
Duniani 2025 yanayoendelea katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume jijini
Arusha.
No comments:
Post a Comment