WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS - UTUMISHI MHE. GEORGE SIMBACHAWENE, AMEFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE MASAUNI YUSSUF MASAUNI, AMBAYE NI BABA MZAZI WA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MHANDISI HAMAD MASAUNI. MHE. SIMBACHAWENE AMEFIKA MIGOMBANI ZANZIBAR KUTOA POLE KWA FAMILIA.
No comments:
Post a Comment