Sunday, May 1, 2022

WATUMISHI WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI) 2022 JIJINI DODOMA

 



Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa maandamano ya kuingia uwanja wa Jamhuri kwenye sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) iliyofanyika Kitaifa jijini Dodoma.

Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa kwenye maandamano ya kuingia uwanja wa Jamhuri kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) iliyofanyika Kitaifa jijini Dodoma.



Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) alipokuwa akiwahutubia Wafanyakazi kwenye sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) iliyofanyika Kitaifa jijini Dodoma.

 


No comments:

Post a Comment