Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Kituo cha Taifa cha Utunzaji Kumbukumbu (NRC) Dodoma leo. |
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue (kushoto), pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi wakipitia moja ya jalada lililofunguliwa mwanzoni mwa miaka ya 60. |
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi akitoa maelezo mafupi kuhusu Kituo cha Taifa cha Utunzaji Kumbukumbu (NRC) Dodoma. |
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue (hayupo pichani) katika Kituo cha Taifa cha Utunzaji Kumbukumbu (NRC) Dodoma. |
No comments:
Post a Comment