Saturday, June 14, 2014

TASWIRA YA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA BAADA YA UJENZI WA MABANDA KWA AJILI YA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KUANZA



Viwanja vya Mnazi Mmoja kama vinavyoonekana baada ya ujenzi wa mabanda kuanza.

Kaimu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (wa pili kutoka kushoto) akitoa maelekezo ya mwisho kuhusu maandalizi ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja mapema leo. Wengine ni watendaji kutoka Idara mbalimbali za Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma. 
Kaimu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (wa pili kutoka kushoto) akitoa maelekezo ya mwisho kuhusu maandalizi ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja mapema leo.Wengine ni watendaji kutoka Idara mbalimbali za Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma. 

Baadhi ya mabanda ambayo yako katika hatua ya mwisho ya kukamilika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja tayari kwa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yatakayofanyika kuanzia Juni 16,2014.

Mabanda yakiendelea kujengwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja kwa ajili ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.


Mafundi wakiendelea kujenga mabanda.


No comments:

Post a Comment