Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ambaye pia ni mgeni rasmi, akiongea wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. |
Meza kuu ikifuatilia burudani iliyotolewa na kikundi cha Machozi Theatre katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. |
Baadhi ya watumishi wa taasisi mbalimbali wakimsikiliza mgeni rasmi Balozi Ombeni Sefue katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. |
Kikundi cha Machozi Theartre kikitoa burudani. |
No comments:
Post a Comment