Tuzo ya Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa, kwa kutambua, mchango wake katika kuhakikisha utekelezaji wake wa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere.
Imepokelewa
kwa niaba yake na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Bi. Prisca Lwangili.
Tuzo
hii ni ishara ya heshima na kutambua mchango wake katika kutimiza maono ya Taifa
ya kuwa na umeme wa uhakika kwa maendeleo ya Tanzania.

No comments:
Post a Comment