Tuzo ya Rais wa Awamu ya Kwanza na mbeba maono wa Taifa la Tanzania, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa kutambua mchango wake katika kuasisi na kuwa na maono ya ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere.
Imepokelewa
kwa niaba yake na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Prisca Lwangili.
Tuzo
hii ni ishara ya heshima na kutambua mchango wake katika kuasisi maono ya Taifa
ya kuwa ba umeme wa uhakika kwa maendeleo ya Tanzania.

No comments:
Post a Comment