Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama
akisikiliza ushuhuda wa mlengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini, Bi. Sophia
Agustino wa Kijiji cha Ngalinje wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wakati wa ziara
yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini
wilayani humo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama
akimpongeza mlengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini, Bi. Sophia Augustino wa
Kijiji cha Ngalinje wilayani Tunduru mkoani Ruvuma kwa kufungua duka kupitia
ruzuku ya TASAF ambalo linaihudumia jamii inayomzunguka.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza
na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na wananchi wa Kijiji cha
Ngalinje, Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wakati wa ziara yake ya kikazi ya
kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika wilaya hiyo.
Walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya
Maskini na wananchi wa Kijiji cha Ngalinje wilayani Tunduru mkoani Ruvuma
wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara
yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika
wilaya hiyo.
No comments:
Post a Comment