Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bw. Mick Kiliba
(kushoto) akikabidhi zawadi kwa Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani Bw.
Kosuke MATSUDA aliyemaliza muda wake wa kutoa huduma nchini katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam hao
iliyofanyika ukumbi wa Ofisi ya Rais-Utumishi mapema leo.
|
No comments:
Post a Comment