Thursday, June 23, 2016

MATUKIO KATIKA PICHA:SIKU YA KILELE CHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2016 ,OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA

Afisa Malalamiko wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. James Katubuka (kulia) akihudumia mteja katika Siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016 iliyofanyika Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma. 
Wateja wakihudumiwa katika Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ikiwa ni Siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016.

Wateja wakihudumiwa katika Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ikiwa ni Siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016.

Mhasibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Victor Gideon (kulia) akihudumia mteja katika Siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyofanyika Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma.

No comments:

Post a Comment