Friday, June 24, 2016

KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2016 , DODOMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa ufafanuzi kuhusu hoja zilizowasilishwa na Watumishi wa Umma mkoani Dodoma wakati wwa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016 
Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Mathias B. Kabunduguru (kushoto) akijadili jambo wakati wa kikao na Menejimenti ya Mkoa wa Dodoma. Kulia ni Waziri wa Nchi-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kariuki (Mb), na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Jordan Rugimbana

KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2016 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akihutubia Watumishi wa Umma mkoani Dodoma.

KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2016 -MATUKIO,-DODOMA. Watumishi wa Umma mkoani Dodoma wakisikiliza Hotuba ya Waziri wa Nchi-Utumishi na Utawala Bora (hayupo pichani)

KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2016 -MATUKIO,-DODOMA. Watumishi wa Umma mkoani Dodoma wakisikiliza Hotuba ya Waziri wa Nchi-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) 
KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2016 -MATUKIO,-DODOMA. Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb), katikati akisikiliza hoja za Watumishi wa Umma mkoani Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Jordan Rugimbana na kushoto, Katibu Tawala wa Mkoa huo Bi. Rehema Madenge.

KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2016 -MATUKIO,-DODOMA. Watumishi wa Umma mkoani Dodoma wakiandika hoja ili zifanyiwe kazi, hoja zaidi ya 85 zimechukuliwa mkoani humo ili kufanyiwa kazi.

KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2016 -MATUKIO,-DODOMA. Watumishi wa Umma mkoani Dodoma wakiandika hoja ili zifanyiwe kazi, hoja zaidi ya 85 zimechukuliwa mkoani humo ili kufanyiwa kazi.

KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2016 -MATUKIO,-DODOMA. Mtumishi wa umma akiwasilisha hoja

No comments:

Post a Comment