Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt.Laurean Ndumbaro (kushoto) akisikiliza matatizo/maoni kutoka kwa mmoja wa watumishi wa Ofisi yake katika siku ya kwanza ya wiki ya Utumishi wa Umma 2016. |
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt.Laurean Ndumbaro (kushoto) akisikiliza matatizo/maoni kutoka kwa mmoja wa watumishi wa Ofisi yake katika siku ya kwanza ya wiki ya Utumishi wa Umma 2016. |
Wateja wakihudumiwa katika Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ikiwa ni Siku ya kwanza ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016. |
Baadhi ya wateja waliofika kuhudumiwa siku ya kwanza ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016. Anayeelekeza (katikati) ni Afisa Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-Utumishi Bi. Rehema Msemo. |
No comments:
Post a Comment