Katibu Mkuu-Utumishi afanya kikao na watumishi,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016
Mmoja wa watumishiwa Ofisi
ya Rais-Utumishi akiwasilisha maoni kuhusu Utumishi wa Umma katika kikao cha
maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016 kilichofanyika katika ukumbi wa
utumishi.
Watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya
Rais-Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) katika kikao cha
maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016 kilichofanyika katika ukumbi wa
utumishi.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro akifafanua
kuhusu masuala ya Utumishi wa Umma yaliyoulizwa na watumishi wa ofisi yake
katika kikao cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016 kilichofanyika
katika ukumbi wa utumishi.
No comments:
Post a Comment