Saturday, June 11, 2016

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) azungumza na vyombo vya habari kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza na vyombo vya habari kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016 katika ukumbi wa Ofisi ya Rais- Utumishi. 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016 katika ukumbi wa Ofisi ya Rais- Utumishi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016 katika ukumbi wa Ofisi ya Rais- Utumishi.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza na vyombo vya habari kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016 katika ukumbi wa Ofisi ya Rais- Utumishi. Kulia kwake ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro na kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Bi.Susan Mlawi.

Waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016 katika ukumbi wa Ofisi ya Rais- Utumishi.







No comments:

Post a Comment