Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Tixon Nzunda (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Mtaalam wa kujitolea kutoka nchini Japan Bi. Yuko Inoue aliyemaliza muda wake wa kutoa huduma nchini katika hafla ya kuwaaga wataalam hao iliyofanyika ukumbi wa Utumishi. |
No comments:
Post a Comment