Monday, December 7, 2015

SERIKALI YAHIMIZA UTEKELEZAJI WA AHADI ZA UADILIFU KWA WATUMISHI WA UMMA

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa pili kutoka kushoto) akizungumza na Vyombo vya Habari kuhusu Utekelezaji wa Utaratibu wa Ahadi ya Uadilifu kwa Watumishi wa Umma katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO).

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu  akifafanua kwa Waandishi wa Habari namna ya Utekelezaji wa Utaratibu wa Ahadi ya Uadilifu kwa Watumishi wa Umma katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO).


No comments:

Post a Comment