Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.
Tixon Nzunda akitoa hotuba katika kusanyiko la mwaka la CEOrt
|
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.
Tixon Nzunda akipongezwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba (kulia) baada ya kupata Tuzo ya Mdau wa Mwaka katika Sekta ya Umma 2015
|
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.
Tixon Nzunda (kulia) akipokea tuzo ya Mdau wa Mwaka katika Sekta ya Umma kutoka
kwa Mwenyekiti wa CEOrt Bw. Ali Mafuruki.
|
Mwenyekiti wa CEOrt Bw. Ali Mufuruki akitoa
hotuba katika kusanyiko la mwaka la Watendaji Wakuu katika hoteli ya Hyatt
Regency Kilimanjaro- jijini Dar es salaam.
|
No comments:
Post a Comment