MHE. ANGELLA KAIRUKI AKABIDHIWA NYARAKA MUHIMU ZA KIUTUMISHI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – UTUMISHI
na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto) akikabidhiwa Kanuni za Kudumu
katika Utumishi wa Umma (Standing Order) na Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais- UTUMISHI na Utawala Bora Bw. HAB Mkwizu ofisini kwake.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. Angella
Kairuki (Mb) (kushoto) akipokea Sera ya Menejimenti na Ajira katika Utumishi wa
Umma kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - UTUMISHI na Utawala Bora Bw. HAB
Mkwizu ofisini kwake
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – UTUMISHI
na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto) akikabidhiwa Nyaraka za
Maendeleo ya Utumishi na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais- UTUMISHI na Utawala Bora
Bw. HAB Mkwizu ofisini kwake .
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais- UTUMISHI na Utawala Bora Bw. HAB Mkwizu (kulia)
akizungumza baada ya kumkabidhi nyaraka mbalimbali Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – UTUMISHI na Utawala Bora
Mhe. Angella Kairuki (Mb).
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –UTUMISHI
na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki
(Mb) akiagana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais- UTUMISHI na Utawala Bora Bw. HAB
Mkwizu baada ya kukabidhiwa nyaraka mbalimbali za kiutumishi ofisini kwake.
No comments:
Post a Comment