Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma inakanusha habari iliyochapishwa na gazeti la Majira la tarehe 8 Desemba, 2015 yenye kichwa cha habari kinachomhusisha Katibu Mkuu Utumishi kusimamishwa kazi na Mhe. Rais (Tazama nakala ya gazeti hilo hapa chini). Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu hahusiki na habari hiyo na anaendelea na kazi zake kama kawaida.
No comments:
Post a Comment