Katika kumbukizi yake ya Siku ya Kuzaliwa leo
Aprili 16, 2026 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete amewasihi watumishi Ofisi ya Rais –
UTUMISHI kuchapa kazi kwa bidii, weledi, ushirikiano, Upendo na Amani.
Aidha Mhe. Kikwete ametoa wito kwa Maofisa wa Ofisi yake kuwajali watumishi wa umma na wananchi wote kwa ujumla wanapofika katika ofisi hiyo kwa ajili yakupata huduma mbalimbali kwa kuwaonyesha “UTU“.
![]() |
| Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete akifurahi pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma Bw, Juma Mkomi akiwa na Naibu wa Ofisi yake Bw. Xavier Daudi wakati akisherekea Kumbukizi ya siku yake ya kazaliwa tarehe 16 Aprili, 2026. |
![]() |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete akiazimisha
Tarehe ya Kuzaliwa Kwake pamoja na maofisia wa Ofisi ya Rais – UTUMISHI Mtumba
jijini Dodoma Aprili 16, 2026
| Picha ya Pamoja ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa anakata keki pamoja na watumishi wa ofisi yake Leo Aprili 16, 2026 |






No comments:
Post a Comment