Friday, April 17, 2026

WAZIRI KIKWETE AWASILISHA BAJETI YA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwasilisha Bajeti ya ofisi hiyo kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo April 17, 2026 jijini Dodoma.

Viongozi, Watendaji na Wakuu wa Taasisi kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakifuatilia Bajeti ya ofisi hiyo iliyokuwa ikiwasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo April 17, 2026 jijini Dodoma.

Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifuatilia Bajeti ya ofisi hiyo iliyokuwa ikiwasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo April 17, 2026 jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri wa Ofisi yake Mhe. Regina Qwaray kabla ya Waziri huyo kuwasilisha Bajeti ya ofisi hiyo kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwasilisha Bajeti ya ofisi hiyo kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo April 17, 2026 jijini Dodoma.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Regina Qwaray akifuatilia Bajeti ya Ofisi hiyo wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) alipokuwa akiwasilisha Bajeti ya ofisi hiyo kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo April 17, 2026 jijini Dodoma.

Wakurugenzi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora na Watendaji wa Taasisi wa ofisi hiyo wakifuatilia Bajeti iliyokuwa ikiwasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo April 17, 2026 jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (kushoto) akifuatilia hoja mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na Waheshimiwa Wabunge mara baada ya Waziri huyo kuwasilisha Bajeti ya ofisi hiyo kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo April 17, 2026 jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Mhe. Regina Qwaray.

Wakurugenzi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakifuatilia Bajeti iliyokuwa ikiwasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo April 17, 2026 jijini Dodoma.

Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifuatilia Bajeti ya ofisi hiyo iliyokuwa ikiwasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo April 17, 2026 jijini Dodoma.

Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifuatilia Bajeti ya ofisi hiyo iliyokuwa ikiwasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo April 17, 2026 jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment