Thursday, April 16, 2026

KATIBU MKUU-UTUMISHI BW. JUMA MKOMI AKUTANA NA MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA KWA MAZUNGUMZO

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw. Juma Mkomi akutana na kufanya mazungumzo na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kuhusu Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma Ofisini kwake Mtumba, jijini Dodoma, tarehe 16 aprili, 2026.


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw. Juma Mkomi (wa tatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma baada ya kuhitimisha mazungumzo Ofisini kwake Mtumba, jijini Dodoma.


No comments:

Post a Comment