Na. Lusungu Helela- NZEGA
Naye Mkuu wa wilaya ya Nzega, Mhe. Naitapwaki Tukai amesema yeye kama Mwakilishi wa Rais katika wilaya hiyo kwa kushirikiana na Ofisi ya TAKUKURU wamejidhatiti kuhakikisha hakuna mtu yeyote atakayechaguliwa kuwa Kiongozi katika wilaya hiyo kwa njia ya rushwa.
" Mtu yeyote
mwenye nia ya kugombea katika uchaguzi Mkuu kwa njia ya rushwa, hana
nafasi katika wilaya hii amesisitiza Mhe, Tukai
Kwa
upande wake Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bw. Crispin Chalamila amesema TAKUKURU
imewezeshwa vitendea kazi hivyo jukumu walilonalo kwa sasa ni kufanya kazi kwa
maslahi ya taifa kabla, baada na hata baada ya Uchaguzi Mkuu
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu akizungumza na baadhi ya wananchi, watumishi na baadhi ya viongozi kutoka Taasisi mbalimbali wakati akizindua Jengo la TAKUKURU Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora ambalo limegharimu kiasi cha Sh. Mil. 314.2 hadi kukamilika kwake.
Naibu Waziri, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu akiwa na
baadhi ya viongozi akikata utepe wakati akizindua Jengo la TAKUKURU
Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora ambalo limegharimu kiasi cha Sh. Mil. 314.2 hadi
kukamilika kwake.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu akisalimiana na baadhi ya watumishi na viongozi mbalimbali kutoka Taasisi mbalimbali alipowasili kwa ajili ya kuzindua Jengo la TAKUKURU Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora ambalo limegharimu kiasi cha Sh. Mil. 314.2 hadi kukamilika kwake.
Naibu Waziri, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu
akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bw. Crispin Chalamila wakati
alipowasili kwa ajili ya kuzindua Jengo
la TAKUKURU Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora ambalo limegharimu kiasi cha
Sh. Mil. 314.2 hadi kukamilika kwake
Baadhi ya wanachi, watumishi na viongozi kutoka Taasisi mbalimbali wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu akizungumza kabla ya kuzindua Jengo la TAKUKURU Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora ambalo limegharimu kiasi cha Sh. Mil. 314.2 hadi kukamilika kwake.
.
Mkuu wa wilaya ya
Nzega, Mhe. Naitapwaki Tukai akizungumza kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu kwa ajili ya kuzindua Jengo la TAKUKURU
Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora ambalo limegharimu kiasi cha Sh. Mil. 314.2 hadi
kukamilika kwake.
Mkurugenzi Mkuu wa
TAKUKURU, Bw. Crispin Chalamila akizungumza kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu kwa ajili ya kuzindua Jengo la TAKUKURU
Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora ambalo limegharimu kiasi cha Sh. Mil. 314.2 hadi
kukamilika kwake.
No comments:
Post a Comment