Mkurugenzi Msaidizi Anuai za Jamii na Mratibu wa
VVU, Ukimwi na Magonjwa
Yasiyoambukiza, Ofisi ya Rais, UTUMISHI na Utawala Bora, Bi.
Mwanaamani Mtoo (Wa pili kutoka kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Aliyeshika pochi) na
Viongozi wengine wa Wizara hiyo walipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Rais, Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati wa maonesho ya maadhimisho ya Siku ya
Ukimwi Duniani yatakayofanyika Mjini Morogoro.
Mkurugenzi Msaidizi Anuai
za Jamii na Mratibu wa VVU, UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukiza, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Bi. Mwanaamani Mtoo (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja
na baadhi ya watumishi wa
ofisi hiyo wakati wa maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani
yanayofanyika mjini Morogoro.
Baadhi ya viongozi, waratibu na waelimisha rika wa Wizara, Mikoa na
Taasisi za Umma wakifuatilia jambo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya
Ukimwi Duniani Mjini Morogoro.
No comments:
Post a Comment