Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akisisitiza uwajibikaji kwa watumishi
wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora (hawapo pichani) alipoitembelea idara hiyo kwa lengo la
kufahamu majukumu ya idara na kuhimiza uwajibikaji.
|
No comments:
Post a Comment