Friday, December 7, 2018

DKT. MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUWA MFANO WA KUIGWA NA WATUMISHI WENGINE KIMAADILI NA KIUTENDAJI





Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akisisitiza jambo kwa wajumbe wa kikao cha menejimenti ya ofisi yake (hawapo pichani) alipokutana nao kwa lengo kufahamiana na kupanga mkakati madhubuti wa utendaji kazi utakaoziwezesha taasisi za umma nchini kutoa huduma bora kwa umma.

Baadhi ya wajumbe wa kikao cha menejimenti ya Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) alipokutana nao kwa lengo kufahamiana na kupanga mkakati madhubuti wa utendaji kazi utakaoziwezesha taasisi za umma nchini kutoa huduma bora kwa umma.

No comments:

Post a Comment