Tuesday, December 11, 2018

TAKUKURU YATAKIWA KUWEKA MKAKATI MADHUBUTI UTAKAODHIBITI VITENDO VYA RUSHWA KATIKA KIPINDI CHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKANI



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU uliofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa, jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na viongozi wa TAKUKURU nchini wakati wa mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa, jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) na  Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) wakiwa katika mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU uliofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa, jijini Dodoma.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) na  Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa TAKUKURU mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa viongozi hao. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani

No comments:

Post a Comment