Thursday, December 6, 2018

WATENDAJI KATIKA SEKTA YA UMMA WATAKIWA KUJIEPUSHA NA MGONGANO WA MASLAHI ILI KUJENGA UCHUMI IMARA WA TAIFA



Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akifungua mjadala kwenye maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa, jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), akizungumza na washiriki wa mjadala kwenye maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa, kabla ya kumkaribisha Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman kufungua rasmi mjadala huo jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb)  akizungumza na washiriki wa mjadala kwenye maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa, jijini Dodoma.

Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada wakati wa mjadala kwenye maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa, uliofanyika jijini Dodoma.

Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) wakifuatilia mada wakati wa mjadala kwenye maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa, uliofanyika jijini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Mhe. Jaji Mstaafu Harold Nsekela.

Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Fabian Pokela akielezea mchango wa Idara yake katika ukuzaji wa maadili kwenye sekta ya umma.


No comments:

Post a Comment