Monday, December 10, 2018

SERIKALI YAAHIDI KUENZI MISINGI YA MAADILI NA UTAWALA BORA ILIYOWEKWA NA BABA WA TAIFA ILI KUDHIBITI MGONGANO WA MASLAHI KWA MANUFAA YA UMMA



Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim M. Majaliwa (Mb)  akizungumza na wananchi na Watumishi wa Umma wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa iliyofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square, jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim M. Majaliwa (Mb)  kuzungumza na wananchi na Watumishi wa Umma wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa iliyofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square, jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) wakijiandaa kumpokea Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim M. Majaliwa (Mb) ili kuzungumza na wananchi na Watumishi wa Umma wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa iliyofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square, jijini Dodoma.


Baadhi ya Watendaji wa Kuu wa Taasisi za Umma wakimsikiliza  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim M. Majaliwa (Mb)  alipokuwa akizungumza na wananchi na Watumishi wa Umma wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa iliyofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square, jijini Dodoma.

Baadhi ya Watumishi wa Umma wakimsikiliza  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim M. Majaliwa (Mb) alipokuwa akizungumza na wananchi na Watumishi wa Umma wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa iliyofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square, jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment