Thursday, December 13, 2018

DKT. MWANJELWA AITAKA TAKUKURU KUHAKIKISHA INADHIBITI MIANYA YA RUSHWA NA KUWACHUKULIA HATUA ZA KISHERIA WANAOJIHUSISHA NA VITENDO VYA RUSHWA



Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na viongozi wa TAKUKURU nchini wakati akifunga mkutano mkuu wa mwaka wa siku mbili wa viongozi hao uliofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa, jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akiwa meza kuu na viongozi wakuu wa  TAKUKURU nchini kabla ya kufunga mkutano mkuu wa mwaka wa siku mbili wa viongozi hao uliofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa, jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani na kulia ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo.

Viongozi wa TAKUKURU nchini wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) wakati akifunga mkutano mkuu wa mwaka wa siku mbili wa viongozi hao uliofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa, jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment