![]() |
Mkutano kwa njia ya
video ukiendelea kati ya Katibu Mkuu Utumishi Bw. Laurean Ndumbaro na washiriki
kutoka Chuo cha Utumishi Kenya (katika video).
|
![]() |
| Sehemu ya Maafisa Rasilimaliwatu wanaoshiriki mafunzo kuhusu Mfumo wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara wakimsikiliza Katibu Mkuu Utumishi -Bw. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) |
![]() |
| Katibu Mkuu-Utumishi Bw. Laurean Ndumbaro (kulia) akiangalia moja ya chumba cha mafunzo |




No comments:
Post a Comment