Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angella Kairuki (Mb) akizungumza
na watumishi wa Ofisi yake (hawapo pichani) wakati wa kikao chake na watumishi hao.
|
Aliyekuwa
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Utumishi, Bw. HAB Mkwizu akizungumza na Watumishi
wa Ofisi ya Rais – Utumishi (hawapo pichani) wakati wa kikao cha Mhe. Waziri na
watumishi wa ofisi hiyo.
|
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Utumishi, Bw. Tixon Nzunda akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya Rais – Utumishi (hawapo pichani) wakati wa kikao cha Mhe. Waziri na watumishi wa ofisi hiyo |
No comments:
Post a Comment