Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akifungua mafunzo
kwa timu ya ukusanyaji taarifa za tathmini ya kazi (hawapo pichani) kwenye
ukumbi wa jengo la Maendeleo ya Jamii Dar es Salaam. Kulia kwake ni
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Masilahi katika Utumishi wa Umma Bibi
Tamika Mwakahesya na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu
wa Maendeleo ya Jamii, Bwana James Kibamba.
|
No comments:
Post a Comment