Mhe. Kairuki aitembelea Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angella Kairuki (Mb) akisalimiana
na watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma alipoitembelea
ofisi hiyo.
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angella Kairuki (Mb) akimsikiliza Kamishna wa Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu
Salome S.Kaganda (kushoto) alipotembelea ofisi hiyo
No comments:
Post a Comment