Mkurugenzi Idara ya
Uchambuzi na Ushauri wa Kazi Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mick Kiliba (kushoto)
akitoa ufafanuzi wa Kanuni za Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma kwa
Mwandishi wa Habari kutoka MiniBuzz Tv Bi. Hadija Mzee wakati wa mahojiano
yaliyofanyika ofisini kwake |
No comments:
Post a Comment