Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi, Dkt.Laurian Ndumbaro akila kiapo cha utii mbele ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na
Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu
Wakuu na Manaibu wao iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment