| Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb)(kulia) akizungumza na vyombo vya habari alipotembelea Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF) . |
| Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza na watumishi wa Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF) alipotembelea ofisi hiyo. |
No comments:
Post a Comment