Na. Veronica E. Mwafisi-Dodoma
Mwakilishi wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma, SACP. Ibrahim Mahumi amesema Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma (Standing Order) ni nyenzo muhimu katika Usimamizi wa Utawala na Rasilimaliwatu ndani ya taasisi za Umma.
SACP. Mahumi amesema hayo, wakati akifungua kikao kazi cha wadau kilicholenga kuhakiki Rasimu ya Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma Toleo la Nne la Mwaka 2025 kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
SACP. Mahumi amesema, kupitia Sera ya Menejimenti na Ajira, Sheria ya Utumishi wa Umma Sura 298 na Kanuni zake za 2022 pamoja na miongozo ya Kiutumishi inayotolewa na Serikali ni vitendea kazi muhimuvinavyotumika kusimamia Utumishi wa Umma ili kuwa na ufanisi.
Kupitia kikao kazi hicho SACP. Mahumi amewataka Wakuu wa Idara za Utawala na Utumishi kuona namna ya kutoa maoni na ushauri ili kuboresha zaidi Sera na Kanuni zinazotakiwa kufanyiwa mabadiliko.
Kadhalika, SACP. Mahumi amesema, mabadiliko ya Sera na Kanuni mbalimbali katika Utumishi wa Umma, pia zimeleta mabadiliko katika eneo la Upimaji wa Utendaji kazi ambao awali ulikuwa unajulikana kama (OPRAS) ambayo kwa sasa unajulikama kwa jina la PEPMIS, mabadiliko ya Sheria ya Utumishi wa Umma pamoja na Nyaraka mbalimbali ambazo zinatoa maelekezo tofauti na ya awali ambayo yalikuwa yakifanyiwa kazi.
Akihitimisha hotuba yake, SACP. Mahumi amesema,
matokeo ya kikao kazi hicho yalenge katika kutoa mwelekeo chanya wa nyaraka
sahihi kupitia Sera na Kanuni zitakazoboreshwa.
Mwakilishi
wa Katibu Mkuu ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala
wa Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, SACP. Ibrahim
Mahumi akizungumza na Wakuu wa Idara za
Utawala na Utumishi kutoka katika
Wizara, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Sekretarieti za Mikoa, na Taasisi wakati akifungua kikao kazi kilicholenga kuhakiki Rasimu ya Kanuni za Kudumu katika
Utumishi wa Umma Toleo la Nne la Mwaka 2025 kilichofanyika kwenye Ukumbi wa
Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Sehemu
ya Wakuu
wa Idara za Utawala na Utumishi kutoka katika Wizara, Mamlaka za Serikali za
Mitaa, Sekretarieti za Mikoa, na Taasisi wakiwa
katika kikao kazi kilichoandaliwa na Idara ya Uendelezaji Sera, Ofisi ya
Rais-UTUMISHI kwa lengo la kuhakiki Rasimu ya Kanuni za
Kudumu katika Utumishi wa Umma Toleo la Nne la Mwaka 2025 kilichofanyika kwenye
Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Mkurugenzi
wa Idara ya Uendelezaji Sera, Bw. Cyrus Kapinga akifuatilia maoni mbalimbali
yaliyokuwa yakiwasilishwa wakati wa kikao kazi kilicholenga kuhakiki Rasimu ya Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma Toleo
la Nne la Mwaka 2025 kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la
Dodoma. Katikati ni Mwenyekiti wa kikao kazi hicho ambaye ni Mkurugenzi wa
Utawala na Rasilimaliwatu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia, Bw. Michael
John.
Sehemu
ya Wakuu
wa Idara za Utawala na Utumishi kutoka katika Wizara, Mamlaka za Serikali za
Mitaa, Sekretarieti za Mikoa, na Taasisi wakiwa
katika kikao kazi kilichoandaliwa na Idara ya Uendelezaji Sera, Ofisi ya
Rais-UTUMISHI kwa lengo la kuhakiki Rasimu ya Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa
Umma Toleo la Nne la Mwaka 2025 kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya
Jiji la Dodoma.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu,
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bi. Prisca Lwangili akiwasilisha
maoni yake wakati wa kikao kazi cha kuhakiki Rasimu ya Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma
Toleo la Nne la Mwaka 2025 kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji
la Dodoma.
Afisa Rasilimaliwatu Mwandamizi, Idara ya Uendelezaji Sera, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Anne Yusuph akiwasilisha Rasimu ya Mapendekezo ya Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma Toleo la Nne la Mwaka 2025 wakati wa kikao kazi kilicholenga kuhakiki Rasimu hiyo kilichofanyika jijini Dodoma
Sehemu
ya Wakurugenzi kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora wakifuatilia kikao kazi cha kuhakiki Rasimu
ya Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma Toleo la Nne la Mwaka 2025
kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Sehemu ya Wakuu wa Idara za Utawala na Utumishi kutoka katika Wizara, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Sekretarieti za Mikoa, na Taasisi wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa kikao kazi kilicholenga kuhakiki Rasimu ya Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma Toleo la Nne la Mwaka 2025 kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Mhasibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi.
Tumwimbilege Ilomo akifuatilia kikao kazi
kilicholenga kuhakiki Rasimu
ya Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma Toleo la Nne la Mwaka 2025
kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Wengine ni Wakuu wa
Idara za Utawala na Utumishi kutoka katika Wizara, Mamlaka za Serikali za
Mitaa, Sekretarieti za Mikoa, na Taasisi
Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya Mishahara na Marupurupu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Gubas Vyagusa (aliyesimama) akiwasilisha maoni yake wakati wa kikao kazi kilicholenga kuhakiki Rasimu ya Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma Toleo la Nne la Mwaka 2025 kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Sehemu
ya Wakurugenzi Wasaidizi kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
na Utawala Bora wakifuatilia kikao kazi cha kuhakiki Rasimu ya Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma
Toleo la Nne la Mwaka 2025 kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji
la Dodoma. Wengine ni Wakuu wa Idara za Utawala na Utumishi kutoka
katika Wizara, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Sekretarieti za Mikoa, na Taasisi
Mwakilishi
wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, SACP. Ibrahim Mahumi
(katikati mstari wa kwanza) akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa
Idara za Utawala na Utumishi kutoka katika Wizara, Mamlaka za Serikali za
Mitaa, Sekretarieti za Mikoa, na Taasisi mara baada ya kufungua kikao kazi
kilicholenga kuhakiki Rasimu
ya Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma Toleo la Nne la Mwaka 2025
kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Mwakilishi
wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, SACP.
Ibrahim Mahumi (katikati mstari wa kwanza) akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu
wa Idara za Utawala na Utumishi kutoka katika Wizara, Mamlaka za Serikali za
Mitaa, Sekretarieti za Mikoa, na Taasisi mara
baada ya kufungua kikao kazi kilicholenga kuhakiki Rasimu ya Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma
Toleo la Nne la Mwaka 2025 kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji
la Dodoma.
Mkaguzi
wa Ndani, Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi. Martha Wililo (kushoto) pamoja na Mkurugenzi
Msaidizi Anuai za Jamii na Mratibu wa VVU, Ukimwi na Magonjwa Yasiyoambukiza,
Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Mwanaamani Mtoo (kulia) wakifuatilia maoni kutoka
kwa Wakuu wa Idara za Utawala na Utumishi kutoka
katika Wizara, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Sekretarieti za Mikoa, na Taasisi
wakati wa kikao kazi kilicholenga kuhakiki Rasimu ya Kanuni za Kudumu katika
Utumishi wa Umma Toleo la Nne la Mwaka 2025 kilichofanyika kwenye Ukumbi wa
Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
No comments:
Post a Comment