HABARI KATIKA PICHA
Mkurugenzi
wa Usimamizi wa Maadili, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bi. Felister
Shuli (aliyesimama) akizungumza jambo wakati wa kikao kazi cha kubadilishana
uzoefu na taarifa kati ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Taasisi Simamizi za Maadili ya Utendaji na Mamlaka Simamizi za
Maadili ya Kitaaluma kilichofanyika katika Ukumbi wa
Sekretarieti ya Ajira, jijini Dodoma.
Sehemu ya Maafisa kutoka Idara ya Usimamizi wa Maadili,
Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa kikao kazi cha kubadilishana uzoefu na
taarifa kati ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Taasisi Simamizi za
Maadili ya Utendaji na Mamlaka Simamizi za Maadili ya Kitaaluma kilichofanyika
katika Ukumbi wa Sekretarieti ya Ajira, jijini Dodoma.
Sehemu ya washiriki
wa kikao kazi cha kubadilishana uzoefu na
taarifa kati ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Taasisi Simamizi za
Maadili ya Utendaji na Mamlaka Simamizi za Maadili ya Kitaaluma wakifuatilia
mada mbalimbali wakati wa kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa
Sekretarieti ya Ajira, jijini Dodoma.
Afisa Rasilimaliwatu Mwandamizi Kutoka Idara ya
Usimamizi wa Maadili, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Hassan Kilenza akiwasilisha
mada kuhusu nafasi ya Mfumo wa e-Mrejesho II katika Usimamizi wa Maadili ya
Utendaji na Maadili ya Kitaaluma katika Utumishi wa Umma wakati wa kikao kazi cha kubadilishana
uzoefu na taarifa kati ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Taasisi
Simamizi za Maadili ya Utendaji na Mamlaka Simamizi za Maadili ya Kitaaluma
kilichofanyika katika Ukumbi wa Sekretarieti ya Ajira, jijini Dodoma.
Sehemu ya washiriki wa kikao kazi cha kubadilishana uzoefu na taarifa kati ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Taasisi Simamizi za Maadili ya Utendaji na Mamlaka Simamizi za Maadili ya Kitaaluma wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Sekretarieti ya Ajira, jijini Dodoma.
Mratibu wa Mafunzo Endelevu, Baraza la Madaktari Tanganyika, Dkt. Mashauri Lisso akiwasilisha mada kuhusu nafasi ya Maadili ya Kitaaluma kwa Wataalamu wa Sekta ya Afya katika Utumishi wa Umma ili kuleta ustawi kwa wananchi, wakati wa kikao kazi cha kubadilishana uzoefu na taarifa kati ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Taasisi Simamizi za Maadili ya Utendaji na Mamlaka Simamizi za Maadili ya Kitaaluma kilichofanyika katika Ukumbi wa Sekretarieti ya Ajira, jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Usimamizi wa Maadili, Ofisi ya
Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bi. Felister Shuli (wa kwanza kushoto)
akifuatilia mada mbalimbali wakati wa kikao kazi cha kubadilishana uzoefu na taarifa kati ya Ofisi ya
Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Taasisi Simamizi za Maadili ya Utendaji na
Mamlaka Simamizi za Maadili ya Kitaaluma kilichofanyika katika Ukumbi wa
Sekretarieti ya Ajira, jijini Dodoma. Wengine ni washiriki wa kikao kazi hicho.
Afisa Sheria, Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi,
Bw. Hamza Twaha akiwasilisha mada kuhusu nafasi ya Maadili ya Kitaaluma kwa
Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi katika Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kwa
Wananchi wakati wa kikao kazi cha kubadilishana
uzoefu na taarifa kati ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Taasisi
Simamizi za Maadili ya Utendaji na Mamlaka Simamizi za Maadili ya Kitaaluma
kilichofanyika katika Ukumbi wa Sekretarieti ya Ajira, jijini Dodoma.
Sehemu ya washiriki wa kikao kazi cha
kubadilishana uzoefu na taarifa kati ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI
na Utawala Bora, Taasisi Simamizi za Maadili ya Utendaji na Mamlaka Simamizi za
Maadili ya Kitaaluma wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa kikao hicho kilichofanyika
katika Ukumbi wa Sekretarieti ya Ajira, jijini Dodoma. Wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi,
Sehemu ya Ukuzaji wa Maadili, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Ally Ngowo.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Utendaji Taaluma, Baraza
la Famasi, Bw. Daudi Mpinda (aliyesimama) akiwasilisha maoni yake wakati wa
kikao kazi kilicholenga kubadilishana
uzoefu na taarifa kati ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Taasisi Simamizi za Maadili ya Utendaji na Mamlaka Simamizi za
Maadili ya Kitaaluma kilichofanyika katika Ukumbi wa Sekretarieti ya Ajira,
jijini Dodoma.
Sehemu ya washiriki wa
kikao kazi cha kubadilishana uzoefu na taarifa kati ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala
Bora, Taasisi Simamizi za Maadili ya Utendaji na Mamlaka Simamizi za Maadili ya
Kitaaluma wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa kikao
hicho kilichofanyika
katika Ukumbi wa Sekretarieti ya Ajira, jijini Dodoma.
Sehemu ya Maafisa
kutoka Idara ya Usimamizi wa Maadili, Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakifuatilia mada
mbalimbali wakati wa kikao kazi cha kubadilishana uzoefu na taarifa kati ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala
Bora, Taasisi Simamizi za Maadili ya Utendaji na Mamlaka Simamizi za Maadili ya
Kitaaluma kilichofanyika katika Ukumbi wa Sekretarieti ya Ajira, jijini Dodoma.
Sehemu ya washiriki wa
kikao kazi cha kubadilishana uzoefu na taarifa kati ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala
Bora, Taasisi Simamizi za Maadili ya Utendaji na Mamlaka Simamizi za Maadili ya
Kitaaluma wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa kikao
hicho kilichofanyika
katika Ukumbi wa Sekretarieti ya Ajira, jijini Dodoma.

No comments:
Post a Comment