Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora,
Wizara ya Fedha na Watumishi Housing Investments ikikagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa makazi ya Watumishi wa Umma yanayojengwa katika
Kituo cha Afya Kilagano, Halmashauri ya Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma.
Mwonekano wa jengo la mradi wa makazi ya watumishi wa
umma linalojengwa katika Shule ya SekondarI Jenista Mhagama, Halmashauri ya Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma.
Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Patrick Allute
(aliyenyoosha mkono) akizungumza jambo na Mkurugenzi
Msaidizi Sehemu ya Mipango na Bajeti, Bi. Julieth Magambo (wakwanza kulia) mara
baada ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa makazi ya Watumishi wa Umma yanayojengwa
katika Kituo cha Afya Kilagano, Halmashauri ya Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma.
Wapili kutoka kulia ni Mteknolojia wa Maabara-Kituo cha Afya Kilagano, Bw. Lugano
Mwakalago.
Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora,
Wizara ya Fedha na Watumishi Housing Investments ikikagua maendeleo ya mradi wa
ujenzi wa makazi ya Watumishi wa Umma yanayojengwa katika Shule ya Sekondari
Jenista Mhagama, Halmashauri ya Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma.
Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Mipango na Bajeti, Bi. Julieth
Magambo (wakwanza kulia) akisisitiza jambo kwa Mtaalam wa ujenzi kutoka WHI, Bw. Sadiki Mwasilembo
mara baada ya timu ya wataalam kutoka Ofisi ya
Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Wizara ya Fedha na Watumishi Housing Investments
kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa makazi ya Watumishi wa Umma
yanayojengwa katika Kituo cha Afya Kilagano, Halmashauri ya Wilaya ya Songea,
mkoani Ruvuma.
Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora,
Wizara ya Fedha na Watumishi Housing Investments ikikagua maendeleo ya mradi wa
ujenzi wa makazi ya Watumishi wa Umma yanayojengwa katika Kituo cha Afya
Kilagano, Halmashauri ya Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma.
No comments:
Post a Comment