Tuesday, June 18, 2024

KARIBU TUKUHUDUMIE - WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2024

Baadhi ya Maafisa wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakitoa huduma kwa wananchi waliotembelea kwenye Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2024 yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma.







No comments:

Post a Comment