Wednesday, June 5, 2024

KIKAO NA KAMATI MAALUM YA JWTZ YA MASUALA YA UTUMISHI WA UMMA

 


Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI SACP. Ibrahim Mahumi akipokea “Plaque” kutoka kwa Brigedia Jenerali Haji Hamisi Makanza baada ya kikao na kamati maalum ya jwtz ya masuala ya utumishi wa umma kilichofanyika katika jengo la Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Mtumba-Dodoma tarehe 5 Juni, 2024. 


Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI SACP. Ibrahim Mahumi akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya JWTZ ya Masuala ya Utumishi wa Umma kilichofanyika katika jengo la Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Mtumba-Dodoma tarehe 5 Juni, 2024. 



No comments:

Post a Comment