Tuesday, June 21, 2022

WATENDAJI WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAKIADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUWAHUDUMIA WATUMISHI KUPITIA KITUO CHA HUDUMA KWA MTEJA

 

Mkurugenzi wa Sheria, Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi. Hilda Kabisa akimhudumia Mtumishi aliyepiga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja (Call Centre) cha Ofisi ya Rais-UTUMISHI aliposhiriki kutoa huduma katika kituo hicho ikiwa ni sehemu ya maadhimisho Wiki ya Utumishi wa Umma

Mkurugenzi Msaidizi wa Anuai za Jamii, Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi. Mwanaamani Mtoo akimsikiliza Mtumishi aliyepiga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja (Call Centre) cha Ofisi ya Rais-UTUMISHI ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma



Mchambuzi Kazi, Idara ya Uchambuzi wa Mifumo Bi. Elizabeth Makyao  akifurahia jambo na Mtumishi aliyepiga simu (hayupo pichani) kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja (Call Centre) cha Ofisi ya Rais-UTUMISHI baada ya kumhudumia katika kituo hicho ikiwa ni sehemu ya maadhimisho Wiki ya Utumishi wa Umma


No comments:

Post a Comment