Monday, June 20, 2022

MHE. NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUTUMIA KITUO CHA HUDUMA KWA MTEJA KUPATA HUDUMA

 


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akimhudumia Mtumishi aliyepiga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja (Call Centre) cha Ofisi ya Rais-UTUMISHI aliposhiriki kutoa huduma katika kituo hicho ikiwa ni sehemu ya maadhimisho Wiki ya Utumishi wa Umma

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akihudumu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja (Call Centre) cha Ofisi ya Rais-UTUMISHI ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma. Wengine ni sehemu ya Watumishi wa Ofisi hiyo wakitoa huduma kituoni hapo.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na baadhi ya Watendaji wa ofisi yake (hawapo pichani) mara baada ya kuhudumu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja (Call Centre) cha Ofisi ya Rais-UTUMISHI ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi akimhudumia Mtumishi aliyepiga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja (Call Centre) aliposhiriki kutoa huduma kwenye kituo hicho ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.






 


No comments:

Post a Comment