Wednesday, April 27, 2022

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA KWANZA LA UFUATILIAJI NA TATHMINI NCHINI

 

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na washiriki wa Kongamano la kwanza la ufuatiliaji na tathmini nchini lililofanyika katika ukumbi wa PSSSF (Makole) jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wa Kongamano la kwanza la ufuatiliaji na tathmini nchini wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (hayupo pichani) alipokuwa akifungua kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa PSSSF (Makole) jijini Dodoma.



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akitoa maelezo kuhusu Kongamano la kwanza la ufuatiliaji na tathmini nchini kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (hayupo pichani) kabla ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kufungua Kongamano hilo katika ukumbi wa PSSSF (Makole) jijini Dodoma.


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro, akitoa neno la utangulizi wakati wa uzinduzi wa Kongamano la kwanza la ufuatiliaji na tathmini nchini lililofunguliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (hayupo pichani) katika ukumbi wa PSSSF (Makole) jijini Dodoma.


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (hayupo pichani) wakati wa Kongamano la kwanza la ufuatiliaji na tathmini nchini lililofanyika jijini Dodoma katika ukumbi wa PSSSF (Makole). Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Anthony Mtaka.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (hayupo pichani) alipokuwa akifungua Kongamano la kwanza la ufuatiliaji na tathmini nchini lililofanyika katika ukumbi wa PSSSF (Makole) jijini Dodoma.


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro, akimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (hayupo pichani) alipokuwa akifungua  Kongamano la kwanza la ufuatiliaji na tathmini nchini lililofanyika jijini Dodoma katika ukumbi wa PSSSF (Makole).

Sehemu ya Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (hayupo pichani) alipokuwa akifungua Kongamano la kwanza la ufuatiliaji na tathmini nchini lililofanyika jijini Dodoma katika ukumbi wa PSSSF (Makole).

Sehemu ya Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alipokuwa akifungua Kongamano la kwanza la ufuatiliaji na tathmini nchini lililofanyika jijini Dodoma katika ukumbi wa PSSSF (Makole).

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro, akitoa tuzo ya udhamini kwa Mwakilishi wa Kamishna wa Hifadhi wa Huduma za Misitu Tanzania, Bi. Patricia Manoga. Dkt. Ndumbaro ametoa tuzo hiyo kwa niaba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Kongamano la kwanza la ufuatiliaji na tathmini nchini lililofanyika jijini Dodoma katika ukumbi wa PSSSF (Makole).



 





No comments:

Post a Comment