Rais
wa Zanzibar, Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika sherehe za
kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
zilizofanyika leo tarehe 23 Aprili, 2022, nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere,
Msasani jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akitoa maelezo
mafupi kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi
kuzungumza katika sherehe za kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu
Julius Kambarage Nyerere zilizofanyika leo tarehe 23 Aprili, 2022, nyumbani kwa
Hayati Mwalimu Nyerere, Msasani jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Jenista Mhagama akielezea majukumu ya ofisi yake katika kuwahudumia Viongozi
Wakuu Wastaafu wa Kitaifa wakati wa sherehe za kumbukizi ya miaka 100 ya
kuzaliwa kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zilizofanyika leo tarehe 23
Aprili, 2022, nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere, Msasani jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Zanzibar, Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi akiwasili nyumbani kwa Hayati Mwalimu
Nyerere, Msasani jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe za kumbukizi ya miaka
100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zilizofanyika leo tarehe
23 Aprili, 2022.
Mama
Maria Nyerere akizungumza jambo na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Mussa Zungu na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama, wakati wa sherehe za
kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
zilizofanyika leo tarehe 23 Aprili, 2022, nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere,
Msasani jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Jenista Mhagama na Naibu wake, Mhe. Deogratius Ndejembi wakiwasili nyumbani kwa
Hayati Mwalimu Nyerere, Msasani jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe za
kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
zilizofanyika leo tarehe 23 Aprili, 2022.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Jenista Mhagama na Naibu wake, Mhe. Deogratius Ndejembi wakiangalia matukio
katika picha ya Hayati Mwalimu Nyerere wakati wa uhai wake kwenye sherehe za
kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
zilizofanyika leo tarehe 23 Aprili, 2022.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Jenista Mhagama akiwa kwenye misa ya kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika leo tarehe 23 Aprili, 2022 katika
kanisa la Mtakatifu Petro, Oysterbay jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni
Mama Maria Nyerere na Mama Janeth Magufuli.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Jenista Mhagama akisikiliza shuhuda zilizokuwa zilitolewa na watu mbalimbali
wakati wa misa ya kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Julius
Kambarage Nyerere iliyofanyika leo tarehe 23 Aprili, 2022 katika kanisa la
Mtakatifu Petro, Oysterbay jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Mama Maria
Nyerere na Mama Janeth Magufuli.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na Mama Maria Nyerere, Mama Janeth
Magufuli na jamaa wa familia ya Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kumaliza misa
ya kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
iliyofanyika leo tarehe 23 Aprili, 2022 katika kanisa la Mtakatifu Petro,
Oysterbay jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment