Saturday, March 16, 2019

WAAJIRI WASHAURIWA KUTOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WAPYA WA MABARAZA YA WAFANYAKAZI SERIKALINI ILI WAWEZE KUTIMIZA MAJUKUMU YAO IPASAVYO

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael  akizungumza na wajumbe wa baraza la wafanyakazi la ofisi yake katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael  akizungumza na wajumbe wa baraza la wafanyakazi la ofisi yake (hawapo pichani) katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma. Kulia ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Lilian Denis.

Baadhi ya wajumbe wa baraza la wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael (hayupo pichani) katika kikao cha baraza hilo kilichofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma. 

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Musa Joseph (kushoto) akichangia hoja wakati wa kikao cha baraza la wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora  kilichofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael  akikabidhi moja ya hati ya kiwanja kwa mtumishi wa ofisi yake,Bw. Jumbe Mgoha wakati wa kikao cha baraza  la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma. Anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Musa Joseph.


Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael (kulia) akikabidhi moja ya hati ya kiwanja kwa mtumishi wa ofisi yake, Bi. Anna Zahoro  wakati wa kikao cha baraza  la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma. Anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Musa Joseph.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael (wa pili kutoka kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Wakuu wa Idara na Vitengo wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora baada ya kikao cha baraza la wafanyakazi la ofisi yake  kilichofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.



No comments:

Post a Comment