Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mafunzo
kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), Bw. Charles Senkondo wakishuhudia teknolojia ya mawasiliano kwa
njia ya video kwa kuunganishwa na Chuo cha Utumishi wa Umma Nairobi, Kenya, alipofanya
ziara ya kikazi katika ofisi hiyo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuhimiza
uwajibikaji.
|
No comments:
Post a Comment